Askari wa kike makete alawitiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari wa kike makete alawitiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Jul 17, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,249
  Likes Received: 14,491
  Trophy Points: 280
  ASKARI WA KIKE MAKETE ALAWITIWA

  [​IMG]
  Watu wasiofahamika wakazi wa wilaya ya Makete mkoani Iringa wamembaka na kumlawiti vibaya askari mmoja wa Kike (jina limehifadhiwa) baada ya kunywa pombe kupita kiasi .


  Tukio hilo liletoka jana katika bar ya V.I.P iliyopo mjini Makete ambapo vyanzo vya habari hii vinadai kuwa askari huyo ambaye awali kabla ya kuhamishiwa wilaya ya makete alikuwa mjini Iringa kikazi ,kuwa alikuwa akinywa pombe na mshikaji wake wa siku zote ambaye ni mfanyabiashara wa Tunduma mkoani Mbeya aliyefika wilaya ya makete kwa ajili ya kesi iliyokuwa ikimkabili.

  Imedaiwa kuwa baada ya wawili hao kunywa pombe zaidi ya kreti moja wawili ghafla vijana wa kihuni walimwita nje njemba huyo na kumpa kipigo cha nguvu na wakati akielekea polisi kushtaki nyuma askari huyo W.P alitoka nje ya bar hiyo akiwa amelewa na kwenda kujisaidia nyuma ya bar hiyo ambako alikutana na mkasa huo wa kufanyiwa kitu mbaya.


  Hata hivyo W.P huyo alikutwa na wasamaria wema akiwa amezidiwa kuwa kubakwa huku wakiwa wamempakaza kinyesi ambacho alikuwa ameachia wakati akiwa amebakwa, hadi sasa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya makete Ikonda.

  source:godwin blog

   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,631
  Likes Received: 2,522
  Trophy Points: 280
  Sheria za polisi zinasemaje juu ya ulevi kwa askari wake?
  Nadhani adhabu aliyokuwa aipate kazini kwake kaipata baa!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Hao wauaji hao. Mpaka saa hii wameshashikwa hao.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 145
  nadhani inategemea kama alikua kazini au la
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Malipo ya PoMbE
   
 6. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Basi,
  wewe usiwaombee watu hawa,
  wala usiwapazie sauti yako,
  wala kuwaombea dua, wala
  usinisihi kwa ajili yao; kwa
  maana sitakusikiliza.
  (Soma Yeremia 7:16)
   
 7. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.(Soma Ufunuo wa Yohana 22:11)
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,393
  Likes Received: 1,549
  Trophy Points: 280
  kama ni makete, atakuwa kashaambukizwa ukimwi
   
 9. s

  seniorita JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pole yake, lakini jamani nako kunywa pombe mpaka kujisahau mbaya sana. Sasa ona yaliyompata, atakuwa anajilaumu, Tumwombee maana Mungu hataki sisi wanadamu wenye dhambi tulaumu wanadamu wengine. Kwa habari ya ugonjwa, kama walimwahisha na kumtibu within 24 hours hatadhurika
   
 10. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,618
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Chooonde chooonde...ULEVI,nooomaaa!
   
 11. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  ila na hawa dada zetu askari nao mh!! Tena hawa wapya wapya ndo wamezidi wanajifanya wajanja wanachuna watu then baadae wanakuwa wababe sijui ni sababu ya kazi yao
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,249
  Likes Received: 14,491
  Trophy Points: 280
  100% anao tayari
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,249
  Likes Received: 14,491
  Trophy Points: 280
  leh!!!
   
 14. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  Hivi yale matangazo yenye hako kamsemo si kwa hisani ya jeshi la polisi sijui na wizara gani? Sa ina maana polisi nao hawafunzwi kuwa ulevi noooma!???? Wangeanza kuelimishana wao kabla hawajaanza kuelimisha umma
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Zitakuwa pombe za offer izo mara nyingi watu hunywaga bila kipimo!
  Getwell soon ili upate uhamisho kuepuka aibu
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  halafu miaka mitano baadae tutamnyanyapaa bila kujali aliupata kwa njia ya kikatili.
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Dah mbona binadamu tunakuwa wanyama namna hii? yaani mpaka kutoana vinyesi shida ni nini hasa? na hao waliotumia bunduki zao kupakua hicho kinyesi hawajui kuna ukimwi? dah
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,637
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Duuh nilikua najua mchezo wa Kupakuana ni wa wa2 wa Pwani kumbe hata Makete???
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,039
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Pombe ni mbaya, na hayo ndio matokeo yake.........pole kwa askari!
   
 20. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,785
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Chonde! Chonde! Ulevi noooma.Imetolewa na: Wizara Afya na Ustawi wa Jamii na Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi.
   
Loading...