Ila watu wengine watakuja na mitazamo tofauuuti.
Inabidi uwazoee Zenith
Jamaa mmoja alikuwa anafanya research:
Akamwambia Ali Choki..leta
ngoma..Ali Choki akampelekea "drum"
Akaenda kwa massawe akamwambia leta
ngoma..massawe akamletea machinegun
Akafika uwanjani akapiga kelele: lete
ngoma huku..Khalfani Ngassa akampasia mpira
Akafika kwa daktari akamuuliza " nitapata wapi
ngoma" daktari akamwambia katembee peku na machangu utapata
Kakaa kijiweni kawasikia jamaa wanamuongelea demu anayepita "ile
ngoma ya Bob Cide
Bottom line huwa tunatafsiri vitu kutokana na interest na fani zetu