Askari wa Bongo......

Askari wa Bongo......

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,822
Reaction score
1,285
Mpelelezi, Polisi na FFU walikuwa wanajisifu mbele ya Rais kila mmoja alijidai yeye ndiye mwenye uwezo wa kumkamata mwalifu kirahisi... basi Rais akasema atawapa mtihani...siku moja akawaita wote na kuwaambia kuna sungura amewekwa msituni, na atayeweza kumkata ndiye atakuwa mkweli...

Mpelelezi: aliingia akaaza kutafuta ushahidi wa kuuonekana sungura kwa majani,... miti.. mawe... bila mafanikio baada ya wiki mbili alirudi na kusema sungura hayupo....

FFU: aliingia na kutafuta kwa wiki moja alipokosa akachoma msitu moto na kuua kila kitu...majani...miti.....na viumbe vyote...na kudai sungara pia amekufa...

Polisi:aliingia ndani ya masaa mawili alikuja na nguruwe pori aliyechakazwa kila mahali kwa kichapo huku anapiga kelele.... basi....basi...basi..... ....utaniua bure....haya basi nakubali mimi ndo sungura......
 
Kawaida yao polisi kulazimisha mtuhumiwa akiri kosa lisilo lake!
 
ha,ha,ha,haaa kwel hii ndo tabia ya polisi wa kibongo
 
teh dats what they do those #*#@$¤% cops!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom