Mtu asiruhusiwe kuvuka zebra au mataa bila kuwa na leseni ya udereva ya walau class P (pedestrian), atakayekiuka apigwe faini/ notification ya 30,000/= kama magari, asipolipa ndani ya siku saba apigwe penalty ya 25% kama gari, na zifungwe kamera za 'facial recognition' kwenye mataa ili kuwabaini...