Askari Trafiki wa Memorial Moshi, anapokea Rushwa

Wadau habari zenu?
Kuna trafiki mmoja mweupe na ni kijana,Leo(14/2/17) amekuwepo eneo la eneo Memorial(high way ya Arusha to MOSHI)
Huyu trafic amezidi kusimamisha magari na kuyatafutia makosa na akishayapata anataka walipe faini au watoe rushwa,na ameandaa vijana wake hasa wauza magazeti ili wamkusanyie hizo pesa.
Ameshika kitabu cha notifications mkononi kwa ajili ya kuzugia na kutosha watu ili watoe pesa.
Naomba uongozi wa polisi na wadau wengine mtambue hilo.

Muhanga
Hao wa ms wana njaa kali kuliko fisi mji huo mgumu hakuna pesa zaidi ya kuforce kingi,na kuna wengine pale msaranga nao balaa
 
Sina hakika kama una cha kunifundisha!
Asante kwa kuchangia!
Kwa majibu haya tu unaonekana ni mtu wa shagala bagala kwenye usafiri wako!

Tena wewe ni mmoja wa wale wanaosabanisha matatizo mengi kwa wasafiri wengine.
Unatakiwa uswekwe ndani kwa kutokufata kwa hiyari sheria za barabarani.

Tena wewe ni mtoaji rushwa mkubwa na hustajili kumtuhumu huyo traffic maana lenu ni moja

Huu uzi wako ufutwe na maadmins maana hauna maana hata kidogo!

Uwe unalipa faini ya haki ili kuliongezea taifa MAPATO. Asante
 
Wadau habari zenu?
Kuna trafiki mmoja mweupe na ni kijana,Leo(14/2/17) amekuwepo eneo la eneo Memorial(high way ya Arusha to MOSHI)
Huyu trafic amezidi kusimamisha magari na kuyatafutia makosa na akishayapata anataka walipe faini au watoe rushwa,na ameandaa vijana wake hasa wauza magazeti ili wamkusanyie hizo pesa.
Ameshika kitabu cha notifications mkononi kwa ajili ya kuzugia na kutosha watu ili watoe pesa.
Naomba uongozi wa polisi na wadau wengine mtambue hilo.

Muhanga
hatumii efd mashine
 
Kwa majibu haya tu unaonekana ni mtu wa shagala bagala kwenye usafiri wako!

Tena wewe ni mmoja wa wale wanaosabanisha matatizo mengi kwa wasafiri wengine.
Unatakiwa uswekwe ndani kwa kutokufata kwa hiyari sheria za barabarani.

Tena wewe ni mtoaji rushwa mkubwa na hustajili kumtuhumu huyo traffic maana lenu ni moja

Huu uzi wako ufutwe na maadmins maana hauna maana hata kidogo!

Uwe unalipa faini ya haki ili kuliongezea taifa MAPATO. Asante
Unajifunza kuandika riwaya.
Seen!
 
uko hapa kisheria ,kiutaratibu na kufuata kanuni hebu fafanua mtu shagala bagala ni mtu wa aina gani
 
hatumii efd mashine
Hana hata kitabu cha risiti,tatizo kubwa ni kwamba anakushika na jukuandia notifications kisha wanataka pesa bila risiti au anakuambia nenda sehemu Fulani ukachukue risiti,sasa MTU una ratiba yako atikee MTU aliyechukua pesa yako na akupangie wapi kwa kwenda kuchukua risiti.
Inakera sana!
 
wahusika wapo subiri watakuja humu kutoa mwongozo
 
uko hapa kisheria ,kiutaratibu na kufuata kanuni hebu fafanua mtu shagala bagala ni mtu wa aina gani
Shagala bagala ni yule mpumbavu anaingia kwenye gari Lake bila kukagua kwanza kama hamna tatizo!
Yaani haangalii end caters zake ni nzima tangu alipolipack, hahakikishi taa zote & site mirrors ni nzima, upepo wa kulingana kwenye matairi yote, hafungi mkanda nk.
Sasa kama hujafunga tu hata mkanda utakuwa upo makini kweli?

Mambo madogo kama hayo lazima utozwe faini kisheria.

Pia kuzingatia sheria za barabarani! Unakuta mtu kuna kibao kinamuelekeza kabisa kwamba aendeshe 30 or 50 speed lakini yeye anakuja kwa speed ya 80 au 100 kabisa

Saa nyingine unakuta mtu ana overtake sehemu ambayo hairuhusiwi kisheria nk

Huyu mdau wetu kama kweli angekuwa hana kosa asingekubali kulipa faini au kutoa rushwa. Moja kwa moja tunaona huyu ni mkorofi na tena alikuwa na makosa ndio maana kaja kulalama huku
 
Back
Top Bottom