Askari Posho posho za Oct 29 nafikiri zimeisha?

Askari Posho posho za Oct 29 nafikiri zimeisha?

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,019
Reaction score
13,266
Manchekesha sana mapot
Mnadharaulikia.

Mnalipwa ili mtupe watu mnalipwa ili muue watu ,muwabambikizie kesi n.k

Adi sasa nafikiri posho zishaisha zile za oct 29 mmerudi apeche alolo mnakula dei waka za kuteka teka watu ovyo.

Mpo salama maana watu wengi hawana access ya silaha ,kwa sisi tuliozunguka Nchi tofauti na kuishi na watu tofauti wenye roho za ajabu
Nyie watekaji na wauwaji wa Tz naona mnachekesha

Unalipwa Million wengine 500k ndo
ya kufanya kumuua mtu asie na madhara yoyote, bora ufanye hayo yote huna cha kupoteza huna familia huna watto

Polisi mkishakosa tenda mtaanza kujipa tenda mtaanza kuteka watu na kupora pesa wafanyabiashara kuweni makini sana ukiweza miliki mguu wa kuku kama mimi basi we miliki tu
 
Kazi ya upolisi kwa nchi zetu hizi zenye tawala za kiimla ni kazi ya ajabu na yenye laana chungu nzima.

Maana hili uifanye kwa waledi wanaoutaka waajiri wako ambao ni watawala, itabidi uwe na roho mbaya sana na uwe tayari kuua raia wasio na hatia kwa maslahi tu ya watawala na tena wakikulipa ujira kidogo sana, huku wao wakiogelea kwenye utajiri haramu uliokithiri.

Sasa kwa mantiki hiii, POLISI ni kazi ya laana na ndio maana wengi wao wakisha staafu wanakuwaga ni maskini sana.
 
Tunawaona huku mtaani tunawaonea sana huruma asee
 
Upolice ni kazi ya Kiqquma sana. Haitatokea kizazi changu mmoja wao ajitoe ufahamu na kwenda upolice namunywesha mnyweso
 
Back
Top Bottom