Askari Polisi Tanzania Wanachukua Rushwa Kubwa Kuliko askari polisi wa DRC Congo.

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,965
28,459
Wakuu
Hawa maafande wetu wanachukua parefu sana.
Tunaomba wajifunze kwa askari wa Congo ambao wao ukimpa andazi, mshikaki anaridhika na anakuacha unaondoka zako
Wawe na huruma basi maana sasa ni kuumizana huku
 
Wale wanachukua hongo, hawa wanachukua rushwa.

Hongo hata Magufuli aliikubali akaiita "hela ya kupiga viatu brashi". Yani inaweza kujenga kujuana siku hata ukipata ajali askari akujue hata jina.

Hata mpenzi wako ukimnunulia khanga, hiyo ni hongo, si rushwa.

Wenzetu wanaita "tip".

Rushwa ni adui wa haki.

One can't be serious all the time.

Jivin'.
 
Jamaa wanapiga parefu tena wale wanaotembea na pikipiki ndio balaa yaani hawaeleweki kabisa
 
Back
Top Bottom