Askari Polisi nao ni binadamu

Wakiwemo majambazi na waharifu wengine wanazo AK 47 kwa magendo
huijui hiyo silaha wala uzito wake ukidhani ni manati, utatembea nayo AK47 Kinondoni Mkwajuni begani au mfuko wa suruali? tena saa 11 jioni ndani ya maandamano. Hebu msitetee ujinga wa buk 7 hao ni POLISI hao 6 tu
 
Kweli huyu jamaa ana mapenzi sana na jeshi la polisi. Wao wamekiri ni kweli unawatetea nini!nyambaf
 
1Samweli15:33 Lakini Samweli akamjibu, Kama upanga wako ulivyofanya wanawake kufiwa na watoto wao, vivyo hivyo mama yako atafiwa miongoni mwa wanawake.
 
haitowezekana mbona
 
vyovyote uonavyo kwan hata ww ni binaadamu pia ko huo ndio ukomo wa fikra zako
 
ok.fine thank u
 

Hapo nyekundu na kupigiwa mstari. Kamanda anamaanisha aidha polisi au sio polisi kwa sababu kuna raia wanamiliki silaha kihalali. Swali, ni kwa asilimia ngapi yaweza kuwa sio polisi au kuwa watu wasiojulikana? Na kwa kiwango gani cha confidence ya kitawimu yaweza kuwa kati ya ubashiri wake waweza kuwa kweli au la? Watu wasiojulikana, wawezaje kujua tabia zao?

Hapo kwenye buluu na kupigiwa mstari. Kwa kutumia data iliyokusanywa kwa mashuhuda, je, hilo vuguvugu halikuwa upande wa polisi? Je, hao mashuhuda sio kati ya watu wasiojulikana? Hao mashuhuda wana macho ya aina gani ya kuona trajectory ya risasi ikiwa kwenye kasi yake baada ya kufyatuliwa? Je, ni risasi moja tu ndio iliyofyatuliwa katika tukio hilo? Na hao watu kama ni kweli mashuhuda, iweje wahusika wasijulikana wakati macho yao yana uwezo wa kuona risasi ikitoka kwenye mtutu na uelekeo wake mpaka mwisho? Yaani, hiyo brain sio ya kawaida?

Mwisho kabisa, kwa nini serikali inabeba dhamana ya mazishi ya marehemu?
 
Kama walifanya wrong shoot 30 bullet wakashindwa kumuua tundu wanashindwaje kuua watu wasiio na hatia hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…