Askari Polisi leo wamejaa barabarani wanakagua magari na kukamata pikipiki

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wakuu huko maeneo yenu hali ikoje maana kuanzia Mandela Road, Pugu Road na mitaa mingine niliyopita leo kuna oparation ya hatari, pesa ya Christmas inatafutwa kwa mabavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom