Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,116
Askari Polisi Jamii, Mandela Eliazeli Batromeo wa Bangwe mtaa wa Katonga Kigoma kufikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa kosa la kuomba rushwa ya sh. 300,000/= na kupokea Tsh. 40,000/= kutoka kwa Samizi Mohamed Ally, mteja ambaye alienda kulalamika kwake kuvamiwa na vibaka watatu akiwa kazini kwake mtaa wa Katonga.