Askari Polisi Jamii mtaa wa Bangwe Kigoma kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa ya Tsh. 40,000/=

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,174
4,062
Askari Polisi Jamii, Mandela Eliazeli Batromeo wa Bangwe mtaa wa Katonga Kigoma kufikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa kosa la kuomba rushwa ya sh. 300,000/= na kupokea Tsh. 40,000/= kutoka kwa Samizi Mohamed Ally, mteja ambaye alienda kulalamika kwake kuvamiwa na vibaka watatu akiwa kazini kwake mtaa wa Katonga.

1593160517300.png

1593160541429.png
 
wacha sheria ichukue mkondo wake,
badala ya kumsaidia raia wako kapata majanga wewe tena unamuumiza hakika huo si ubinaadamu.
hongera kwa mtoa taarifa ni mfano wa kuigwa na wengine wanapo ombwa kutoa rushwa ya fedha au hata ya ngono kutoa taarifa haraka ili muhusika anaswe....naamini kwa mwendo huu tutaitokomeza rushwaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom