Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

Bonde la Baraka, Avatar yako ni tofauti na akili zako. Hivi na wewe unaamini wabunge hao tena wanawake walikwenda kufanya fujo magereza ?!. Akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Wakati akina Halima wananyanyaswa wenzao wa Ccm waliruhusiwa kuingia na magari na waandishi mpaka ndani ya lango kuu la magereza kumchukuwa Dr Mashinji na kujaribu kumchukuwa mchungaji Msigwa. Je hao kina Polepole mbona hawakusubiri kuwapokea Lumumba ?! Mbona hawajapigwa !!


Endelea kushangilia mfumo unaotoa haki kwa ubaguzi. Haki ya kufanya jambo iwe kwa wote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe.nawe jaahil
Hivi mbona mnajishaulisha kuwa CCM ndiyo wenye dola..? mlimsikiliza polepole anawambia yeye ni msaidizi wa Magufuli kama mwenyekiti wa CCM kwa upande mwingine tambua pia ni Rais.

Haya ya ubishi wa kijinga ndiyo yaliyopelekea TL akambwatuliwa. Mtoto hawezi kumtukana mzazi wake afu adai ale na kutunzwa na mzazi huyohuyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom