Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

Wewe ndio mjinga, jifunze kusikiliza na kufuatilia mambo si kubwabwaja tu kisa umepewa mdomo wa kubwatuka

Mnachoshindwa kuelewa ni kufikiri kila sehemu inatakiwa siasa, soma amri za jeshi na si kulazimisha mambo, huko ni jeshini, acheni mihemko

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakoandika wewe hapa nishapita zamani sana.

Fuatilia mjadala huko nyuma, usirukie treni kwa mbele tu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wastaafu wa nchi hii wengi mental disorder
Nawajua wastaafu wanavyotia huruma, kwa sababu ya uongozi mbovu.

Hivyo, nashangaa kusikia wanapoutetea mfumo huo huo unaowakandamiza.

Wanafurahia wengine wakikandamizwa bila kujua wanafurahia kukandamizwa wao wenyewe.

Misri kuna wakati rais Mubarak aliwaamrisha askari wawapige wananchi, askari wakakataa, wakasema hawa wananchi ni ndugu zetu na wana madai ya msingi.

Askari/ Magwrwza wa Tanzania hawajafikia muamko huo bado.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Siasani wiki hizi za karibuni kumekuwa hot Sana. Watu wanaogeshana matusi kutoka hata kwa watu usiowadhania.
Mkuu unaheshima kubwa Sana hapa JF si kwa sababu tunakufahamu physically bali kwa michango yako unayoitoa.
Rudi kuwa Kiranga yule tunayemfahamu please!

Sent using Jamii Forums mobile app

Tafadhali sana naomba niachie haki yangu ya kumtukana mtu ninayeona anafaa kutukanwa.

Hapo utakuwa umeniheshinu sana.

I do not subscribe to a pompous piety or a puffed up puritanism.

Ikiwa uliniweka juu sana ukafikiri siwezi kumtukana mtu ninayefikiri anastahiki kutukanwa, naona ulikuwa hujanifahamu na naomba unishushe ili usininyime uhuru wangu wa kujieleza.

Sina tatizo kumtukana mtu.

Kwa kweli, mtu anayestahili kutukanwa, nisipomtukana, naona kama sijamfanyia yeye haki, sijajifanyia mimi haki, na sijaifanyia jamii haki.

Tatizo langu ni kuhakikisha ninayemtukana anastahili kutukanwa.

I have never claimed to be a puritan.

Why are you making me one all of a sudden?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Hao waliopata kipigo ndio wanafiri kwa kutumia makalio na kujiona wanajua kila kitu hata bado wasipotumia akili nakujiona wajuaji wa kusema watapata wanachostahiki
Maelezo yake ni kweli kwa sababu hawa jamaa wa magereza huwa hawatumii akili ili kufikiri, bali wanatumia makalio.

Wenye kutumia akili huwa wanatumia maarifa kufanya maamuzi, hata poli si wetu vilevile nao sijui wanakwama wapi.
Wanashindwa hata kutafuta ka uwongo kanakofanana na ukweli??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi inayotakiwa kuongozwa kwa kufuata sheria.

CHADEMA kama chama cha upinzani ni kazi yao kuhakikisha hilo.

Na kama wamemulika kuwa magereza hawafuati sheria nabkatiba, hapo wanafanya kazi yao tu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
You are just being utopian Mzee.
 
You are just being utopian Mzee.
Nimepita kote huko zamani sana, tatizo hujasoma tu.

Nimeelezea kilichopo, kwa hivyo siwezi kuwa Utopian.

Nimeelezea pia kinachotakiwa kuwepo.

Mtu aliye Utopian ni mtu anayeelezea kinachotakiwa kuwepo bila kukubali kilichopo.

Na mtu anayeshikilia kilichopo tu, bila kuelezea kinachoweza kuwepo, si kweli kwamba anakataa kuwa Utopian, bali anakataa maendeleo.

Hakuna maendeleo bila kukataa yaliyopo na kutaka yaliyoendelea zaidi.

Unaponipinga mimi kwa karata ya kuniita Utopian, hukatai Utopia, unakataa maendeleo.



Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Nimepita kote huko zamani sana, tatizo hujasoma tu.

Nimeelezea kilichopo, kwa hivyo siwezi kuwa Utopian.

Nimeelezea pia kinachotakiwa kuwepo.

Mtu aliye Utopian ni mtu anayeelezea kinachotakiwa kuwepo bila kukubali kilichopo.

Na mtu anayeshikilia kilichopo tu, bila kuelezea kinachoweza kuwepo, si kweli kwamba anakataa kuwa Utopian, bali anakataa maendeleo.

Hakuna maendeleo bila kukataa yaliyopo na kutaka yaliyoendelea zaidi.

Unaponipinga mimi kwa karata ya kuniita Utopian, hukatai Utopia, unakataa maendeleo.



Sent from my typewriter using Tapatalk
Okay, assume that you're right. Then be pragmatic or advise chadema to be so
 
Okay, assume that you're right. Then be pragmatic or advise chadema to be so
Unaelewa kwamba watu wote wangeamua kuwa "pragmatic" kwa standard za wakati wao, usingekuwa na internet leo?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"

Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.

Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.

Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.

Maendeleo hayana vyama!
Nakupinga mtoa mada. Ule uovu ulipangwa na Mkuu wa Gereza kupitia maagizo kutoka kwa akina Makonda na Mambosasa. Mbona Humphrey Polepole alipokwenda kumchukua Mashinji CCM waliingia wengi kama mwenyewe Mashinji anavyosema hapa;

 
Yaani huyu mpumbwavv anataka kusema hata askari magereza akiua mtu yeyote maeneo ya gereza hakuna kosa!!!

Mstaafu naona kamaliza pensheni yake mapema!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jichanganye unapigwa shaba na kesi ni nyepesi tu,,,aisee chezea maeneo yoooote nenda hata Ikulu unaweza kusema nilitaka kumsalimia Rais lkn si magereza!!!! Mungu akipenda nitawaletea somo kuhusu maeneo nyeti
 
Back
Top Bottom