Nahisi huwa una matatizo ya akili. Kama huna matatizo ya akili basi una tabia Fulani hivi ya kujiona unajua kila kitu na wanachojua wenzio na mawazo yao huwa unayaona ni ujinga. Ni hatari sana kuishi na MTU mwenye Tabia hizo.Hoja yangu haikuwa katika Kitendo ambacho kimsingi hata Mimi nakipinga ILA sijapenda aina ya Uandishi wa Kichafuzi wa kutumia Tasnia ya Mtu kama kutaka kumdhalilisha au kuidhalilisha Taasisi yake husika. Ni suala tu la Mtu binafsi hilo isipokuwa Wewe tatizo lako huwa unapenda mno kukurupuka kutaka kunijibu na nilidhani zile dozi mbili tatu nilizokupa huko nyuma zilikunyoosha na kukufundisha kitu.
Acheni tu sio kwa pozi hilo
Kwa hali unajizuiaje kumla huyu mwanafunzi aisee.
pingu mkuuu eliza chuwaApigwe pingi na yeye aonje utamu
Hiyo habari umeisoma kweli ?Hapa kuna tatizo, unaweza ukakutana na binti ama mke wa mtu wengi huwa hawasemi kama ni wanafunzi au wameolewa sababu kuu huwa ni za kiuchumi(umaskini), inawezekana askari alikuwa hajui kama ni mwanafunzi.
Sijaelewa kama ulivyoelewa weweHiyo habari umeisoma kweli ?
Kaisome tena kisha rejea comment yako ya kwanzaSijaelewa kama ulivyoelewa wewe
Asante mkuupingu mkuuu eliza chuwa
Mtihani mkubwa sana,walimu wa kiume wanavumilia mengi aisee..Kwa hali unajizuiaje kumla huyu mwanafunzi aisee.
Nahisi huwa una matatizo ya akili. Kama huna matatizo ya akili basi una tabia Fulani hivi ya kujiona unajua kila kitu na wanachojua wenzio na mawazo yao huwa unayaona ni ujinga. Ni hatari sana kuishi na MTU mwenye Tabia hizo.
Lakini kwa madereva wa boda boda pia tufikirie mazingira tunayo waacha mabinti zetu pia, mtoto anaondoka nyumbani asubuhi tena bila hata kunywa chai, shule yenyewe ya kata iko umbali wa kilometa tatu/nne, atembee kwa miguu. Mchana akitoka shule tena anarudi kwa miguu. Akimpata boda boda wa kumpa lift tena na chips soda juu, amlipe nini?Kawaida yao askari na madereva hasa hasa wa boda boda
Sawa mkuuKaisome tena kisha rejea comment yako ya kwanza