Well,,,hongera kwao.Majeshini kuna warembo wengi mno.
Hahaha
Hahaha unataka kukagua makinikia mkuu
Usinambie?Majeshini kuna warembo wengi mno.
Ebana ni mzuri kweli kweliYah sure namfahamu vizuri sana
Shidah sio kukaa kwenye ac shidah ni moja tu ELIMU YAKE NDIO IMEMFANYA AKAE HAPO C UNAONA HATA (V) yenyewe hana?
Hapo kwenye v vile vyeo vya kijeshi japo mm cvifahamu mkuu.Hapo kwenye V hebu fafanua mkuu.
Hapo kwenye v vile vyeo vya kijeshi japo mm cvifahamu mkuu.
Hata hivo vyeti c unajuaga.Nilifikiri una maana hana nyeti
Hata hivo vyeti c unajuaga.
hata uaskari,teaching na Nursing itapendeza zaidi baada ya 4f4 fighting for food.
Ok.Siyo vyeti mkuu nilisema nyeti. Ile V nilifikiri ulikatisha nyeti ya kike kwa kingeledha chake.
Bosi wenu ana moyo sana kumruhusu kufanya hii kaziDah wee Mfukunyuku saana. Huyu dada namfahamu mme waake ni Boss wetu
maisha magumu mkuu hakuna cha urembo. tena mbaya zaidi utakuta amesoma tuMbona anajitesa na hayo magwanda,Huyu anatakiwa kukaa kwenye ac tu