donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130

Dah wee Mfukunyuku saana. Huyu dada namfahamu mme waake ni Boss wetu
HahahahaKuna Muda unataman kukaa mazingira ya karbu na jela hv hv
Mweh?kama lulu vile! aminaaaaaa, leta miwani pale kabatini.
Wa maaanisha nn mkuu?Duuuh dunia uwanja mpana kila kitu kinaweza kufanyika kwa wakati mmoja
Usinambie?Dah wee Mfukunyuku saana. Huyu dada namfahamu mme waake ni Boss wetu
Hiyo picha inaonyesha yuko kazini na huko huko kazini ameweza kupata mda wakupiga picha ya mapozi na mda huohuo ameweka kwenye socialWa maaanisha nn mkuu?
MaweeeeHiyo picha inaonyesha yuko kazini na huko huko kazini ameweza kupata mda wakupiga picha ya mapozi na mda huohuo ameweka kwenye social
Hapo umeelewaMaweeee