Askari Magereza ajiua kwa risasi

Hii mbona haijakaa sawa! Mtu atajipigaje risasi tatu kichwani? Wajaribu kufatilia kwa karibu tukio hili - kuna walakini si bure.
 
Inategemea uneweka mapigo gani? Moja moja au mfulilizo

Sent using Jamii Forums mobile app

We unajuaje kama alikuwa ame-select full burst au single? Mkuu ni hivi: Regardless umeweka mapigo gani single au burst - kuna time lag between uvutaji trigger, firing pin kugonga kitako cha risasi, risasi kulipuka,moshi wa risasi kusukuma piston ili i-koki automatically na magazine follower kusukuma risasi nyingine kwenye chemba - zoezi linajirudia tena in terms of risasi kadhaa kwa dakika and not in micro au millseconds - ninacho taka kukifafanulia hapa ni kwamba bunduki/rifles hazifanyi kazi kwa kasi ya kufikia umeme/mawimbi ya radio, ila ubongo speed ya kufanya kazi inafikia ya umeme - ukipiga risasi ubongo basi kifo kinakuwa instant na mishipa ya fahamu inasizi kufanya kazi on the spot - hivo kidole cha mfu akiwezi kuvuta trigger bila kujali umeselect mapigo gani (single au full burst).
 
Back
Top Bottom