Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
......."ninaposema maisha ni magumu ni magumu kwa wanajeshi,polisi,walimu,usalama wa taifa na wengine wote ambao wanajipatia kipato si kwa ufisadi wala wizi wa aina yoyote ile"....mhe Slaa, akifafanua jambo juu ya kupanda kwa gharama ya maisha Mytake kama ndio mtu anakula shambani mwake hii ni hatari,kwanza hawajatuambia zile silaha za malima ziko wap.......ngoja tuone mhe Nchimbi atachukua hatua gani.....