Askari Huyu Ni CHADEMA, nani anabisha.....!!

Askari Huyu Ni CHADEMA, nani anabisha.....!!

DON KILLUMINATI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
192
Reaction score
83
Hawa jamaa wanalazimika tu, lakini Mioyo yao ni CDM pure............!!!!
kidole.png
 
Aliulizwa hao wanaochoma makanisa ni watu gani, lakini mkuu akawa hasikii kwenye radio call due to kelele za ving'ora, ikabidi atoe ishara ya vidole viwili.
 
Nilikuwa na-browes nikiwa kitandani yaani umenifanya nilazimike kuamka baada ya kucheka saaaaaaaaaana hadi kupaliwa. Ila tunao wengi sana wana cdm, hawajitokezi kutokana na kulinda mkate wao wa kila siku, mfano mzuri ni pale police mecy IRINGA ambapo uchaguzi wa 2010 asilimia 95 ya askari na familia zao walichagua CDM.
 
Back
Top Bottom