Wanajishushia heshima wao wenyewe ndio maana wanadharauliwa.Kuna siku walipita na gari wakakuta mkaa unashushwa stoo nadhani walikuwa wanafuatilia lile gari la mkaa linapoenda kushushia washaona kuna ulaji.
Walikuwa wababa watu wazima wawili.
Walipofika wakamhitaji mhusika mwenye stoo wakaitiwa eti walichomwambia tupe basi hela ya kula.
Walichojibiwa sasa
"Siwapi hata mia kwa kazi gani au kosa gani nililofanya"
Kwa aibu ilibidi waondoke.
Hawa watu sometimes basi tu.