Askari feki!!!

Askari feki!!!

Kikombo

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
60
Reaction score
49

<tbody>
[TD="bgcolor: #ffffff"]

<tbody>
</tbody>
[/TD]
[TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"]
amka2.gif
[/TD]
[TR]
[TD]
SAKATA la mtu anayeshikiliwa jeshi la polisi Kituo cha Buguruni kwa madai ya kujitambulisha kama mwanajeshi wa (JWTZ) mwenye namba za kijeshi MT 97185 Anderson, limechukua sura mpya baada ya kumkana na kusema hakuwahi kulitumikia jeshi hilo.


<tbody>
</tbody>
[/TD]
[/TR]
</tbody>
 
Hata yule wa friend 'requst' nae walimtupia huku. Kweli chit-chat inaonekana kama dampo.
 
Back
Top Bottom