Askari amnyang'anya raia mke na mimba

Kufa c mwiko

JF-Expert Member
May 26, 2013
720
274
Askari D5386SGT Twaha amempola mke na mimba mkazi wa kitongoji cha Chungu kisa alimsaidia mwanamke huyo kesi ya upotevu wa fedha za finca hapa Mtera.

source: mimi mwenyewe mkazi wa Mtera Staff.
 
Hii Taarifa inabidi tutume makao makuu askari afukuzwe kazi mboda dada wa magomeni Kova kamtimua kazi baada ya kuonyesha papuchi yake
 
Askari D5386SGT Twaha amempola mke na mimba mkazi wa kitongoji cha chungu kisa alimsaidia mwanamke huyo kesi ya upotevu wa fedha za finca hapa mtera,source mimi mwenyewe mkazi wa mtera staff.

Alimsaidiaje kwenye hiyo kesi na kwa nini mme wake hakumsaidia mpaka askari akaja kumsaidia?
 
Askari D5386SGT Twaha amempola mke na mimba mkazi wa kitongoji cha chungu kisa alimsaidia mwanamke huyo kesi ya upotevu wa fedha za finca hapa mtera,source mimi mwenyewe mkazi wa mtera staff.

kwa hiyo kamchukua yeye or
 
Hapo askari kosa lake nini wakati anasaidia marejesho?
Huyo Mr. anaye mwachia mke akakope wakati hana marejesho alitajia nani amlipoe madeni?akubali matokeo.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Alimsaidiaje kwenye hiyo kesi na kwa nini mme wake hakumsaidia mpaka askari akaja kumsaidia?

wakati kesi ya mwanamke ikiendelea,mumewe alibambikwa kesi ya wizi wa fedha kwenye kampuni ya sietco hapa mtera na askari muhusika ambaye ni OCS wa kituo cha polis hapa mtera,lakini mungu mkubwa baada ya kusota mahabusu miezi mitano gereza la ilolo mpwapwa tarehe 1.3.2013 mahakama ilimwona hana hatia.
 
Dah kama kajileta mwenyewe hata mi napiga mambo.....

hakujipeleka bali alikuwa na kesi,kwani alikuwa kiongozi wa kikundi hivyo wakat akisafirisha fedha za finca majambazi walimpora njiani kwahiyo alishitakiwa polisi.
 
Hii Taarifa inabidi tutume makao makuu askari afukuzwe kazi mboda dada wa magomeni Kova kamtimua kazi baada ya kuonyesha papuchi yake
Hahahaaaaa hahahaaaaa Nimeipenda hiyo nimepata msamiati mpya; papuchi
 
kwa hiyo kamchukua yeye or

askari kamchukua kibabe hata jana tu alionekana mchana kampakia kwenye pikipiki wakitoka kriniki kwani huyo mama amejifungua mtoto mwanzoni mwa mwaka huu,mbaya zaidi mwenye mke amepanga kufanya kitu mbaya lakini tumemsii akaonane na bosi wake kamanda David misime wa mkoa wa dodoma.
 
Hii Taarifa inabidi tutume makao makuu askari afukuzwe kazi mboda dada wa magomeni Kova kamtimua kazi baada ya kuonyesha papuchi yake

Binafsi nina imani na jeshi la polisi tatizo ni baadhi ya askari wachache ambao wanajisahau wakiwa kwenye utumishi,mfano askari huyu anamchafua kamanda wa wilaya mpwapwa ambaye kiukweli anastaili sifa ya pekee pengine kuliko OCD yeyote aliyekaa wilaya ya mpwapwa,kwani ana ratiba ya kutembelea vituo vyote na kuongea na wananchi mara kwa mara tangu alipoamia mwaka jana na watu wapo huru kutoa maoni yao na anayafanyia kazi kwa wakati.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom