figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,690
- 59,192
kumbe kuwa mwanajeshi ni kuvaa magwanda ukishavua wewe sio mwanajeshi. hapo nimezielewa akili za jeshiccm. mia
Mkuu unaonekana huelewi unachokitetea hapo hujagundua kama Majibu ya Mgawe yanaacha maswali kuliko majibu?? labda wewe ndiye Kapambala ebu tusaidieKuwa mwanajeshi c sababu kuwa huna haki ya kushirki kama mtu mwingine kawaida lah! Suala tunalotakiwa kuelewa hapa ni wakat gan unatakiwa kushirk kama taratibu za nchi zinavyoeleza ndilo suala kamanda mgawe analolieleza, tuache ushabk kabla ya kujua taratib za sehem husika (nchi)
ni kweli mkuu,wakapigane na Banda kule malawi badala ya kung'ang'ana na mtu aliyepiga picha na mbunge!Kweli nimeamini jeshi letu halina kazi ya kufanya,kwanini wanakomaa na jambo dogo kama hilo?
ni kweli mkuu tanzania ukiwa upinzani unahitaji ngozi ngumu!Anatafutwa kwa kuvaa sare za jeshi na kupiga nazo picha, tena na mbunge wa chama cha Upinzani. Hili ni kosa sana bora hata angekuwa amepiga na mbunge wa chama Tawala.. Duh, siasa za Bongo hizi....!!! nashauri JWTZ waache huu ijinga waendelee na kazi zao.. hii ni siasa tu!!!
Huyu kijana inasemekana alishawahi kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), lakini wakati
tunaendelea na uchunguzi alitoroka katika nyumba aliyokuwa amepanga bila ya taarifa kwa baba mwenye nyumba, alisema Kanali Mgawe na kuongeza:
hizi sarakasi mpaka lini?
Basi si kamanda nae si apewe hiyo secondment akimaliza kupiga picha na kuitumikia CDM arudi jeshini
Aisee Kamanda anazidi kuibua mjadala mzito mkubwa zaidi
Nahitaji kujua iyo sheria ya secondment tu-construe.
Tangu day one nilisema yule sio mjeda bali ni imposter tuu!, nikawashauri Chadema wamkabidhi kunakohusika ili kuilinda hadhi ya chama kisiwe an "accessory before the fact", na kusingiziwa ndio wali mplant huyo mjeda fake ili kuwathibitishia wajeda na wananchi kwa ujumla kuwa baadhi ya wajeda wameshaanza kujiandaa kisaikolojia kumpokea the next CIC kutoka upande wa CDM!.
P.
Hahahahaha si walisema hawa mtambui? Sasa kwa ninii wamtafute?