BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Mhhhhh! Kumbe kule JWTZ kuna sheria za aina mbili!!!! Baadhi ya wanajeshi wanaruhusiwa kujihusisha na mambo ya siasa na baadhi hawaruhusiwi!!! sasa sijui ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuamua mjeshi huyu anaruhusiwa na yule haruhusiwi!!!! Kazi Kweli kweli!!!! Hili Jeshi Magamba bado lina safari ndefu sana ya kujiweka mbali na magamba.
Huyo mjeshi inayedaiwa katoroka asiwe kapelekwa Mabwepande kufanyiwa kitu mbaya.
Huyo mjeshi inayedaiwa katoroka asiwe kapelekwa Mabwepande kufanyiwa kitu mbaya.
Alipoulizwa kama kuna tofauti gani kati ya mwanajeshi kuingia kwenye mikutano ya wanasiasa na wale wanaofanya kazi za kisiasa kama wakuu wa wilaya na mikoa, Kanali Mgawe alijibu:" Wanajeshi wanaofanya kazi za U-DC au RC, wanaruhusiwa kisheria."