Askari aliyepiga picha na Lema atokomea

Askari aliyepiga picha na Lema atokomea

Aisee Kamanda anazidi kuibua mjadala mzito mkubwa zaidi
Nahitaji kujua iyo sheria ya secondment tu-construe.

...je vyama vingine vya siasa(Chadema,CUF,TLP,UDP,NCCR nk) nao pia kwa kuitumia sheria hiyo wanaruhusiwa kuchukuwa wanajeshi na kuwapa kazi zao za kisiasa?...
 
Iwe ni kwa secondment or else, wanawezaje kufanya kazi za siasa wakati wao hawaruhusiwi kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa. Wanapewaje majukumu ya siasa wakati wao si wanachama? Au wanaruhusiwa kuwa wanachama wa CCM lakin si vyama vingine vya siasa. Na kama ni secondment je wanaruhusiwa kufanya hivyo kwa vyama vingine pia? Au ndo hii watu wanasema Tanzania zaidi ya uijuavyo?
 
Back
Top Bottom