Do you have any question concerning C/C++, Java, Python, PHP & Yii, JavaScript & JQuery?
Ask me a question (AMAQ) is the way to go.
I will find time to answer any question ... as much as I can 🙂
So ask me!
Yii vs Zend - Yii iko more organized and simpler. Ingawa sijatumia Zend ila from studying it, its just like bunch of classes. Installation is what turned me off, its mystery for beginnerSwali langu lipo kwenye PHP Frameworks
Kwanini Una prefer kutumia Yii Framework badala ya Framework nyingine kama Zend,code igniter, cake php,laravel etc??????
Stefano Mtangoo ninadevelop desktop application kwa kutumia java nataka mtu akiwa anafanya installation kila kitu pamoja na mysql database na table zake ziwe installed hapa nafanyaje mkuu.
Stefano Mtangoo kwa kusaidia tu hawa wanaweza kupitia hapa https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=784656Nina project yangu ya java swing natengeneza app nimekwama kwenye kwenye codes za kusave taarifa kwenye database na kuretreave hizo taarifa database ninayotumia ni derby msaada tafadhali
Mimi ni beginner ndio naanza kujifunza app development
Unaanza kujifunza tayari umerukia katika Swing/Database? Wrong way!Nina project yangu ya java swing natengeneza app nimekwama kwenye kwenye codes za kusave taarifa kwenye database na kuretreave hizo taarifa database ninayotumia ni derby msaada tafadhali
Mimi ni beginner ndio naanza kujifunza app development
una options mbiliStefano Mtangoo ninadevelop desktop application kwa kutumia java nataka mtu akiwa anafanya installation kila kitu pamoja na mysql database na table zake ziwe installed hapa nafanyaje mkuu.
una options mbili
1. Dump SQL file to Database during Installation
2. Run SQL queries within App on first run
Umetaja MySQL, so I hope app ni ya web. Else Desktop app na swali ulilouliza haviendani unless iwe inakimbia kwenye server!
Your Installer should install MySQL first, then create necessary schema and proceed installing app, in that order.ni POINT OF SALE system itatumika kwenye stationery ipo tayari ila nilitaka zote ziwe installed pamoja.
Sijawahi kuitumia hiyo ila nitaicheck nione. Installer zinafanana kwa mambo mengi ila nadhani nitatoa comment baada ya kuipitia!Stefano Mtangoo refer post #76 net ipo slow nashindwa ku quote thread natumia advanced installer for java ila nitafanya consultancy bado kuna technical details ningependa kujua na itachukua muda mwingi hapa nishacheki site yenu thanks.
Unaanza kujifunza tayari umerukia katika Swing/Database? Wrong way!
Jifunze kwanza misingi ya Java halafu advance slowly and finally go to UI. Nina wasiwasi hata hizo code za UI umetengeneza na RAD!
Jifunze uielewe Java kwanza kabla ya kufanya project. Lerning by doing is good only if you learn first and do it next!