rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 130
Amesema strings, hajatumia String au string. HehehehehJust curious...A and B are strings or indexed arrays of strings?
mkuu shikamoo............nataka nifanye automation ya kulink paypal account na local mobile banking yaani tigo pesa mpesa airtel money na z pesa.....yaani mtu akilipal bill kupitia paypal account yangu niweze kuireceive kwenye my mobile banking platfom and vice verse........hapo naweza adapt solution gani au kama kuna module yooyote ambayo ishakuwa developed naomba unijuze.............au nipe maujanja nianze from scratch
Kwakweli mimi sina shaka na uwezo wako maana nilishakuwa mwanafunzi wako na nitarudi kuendelea, hata hiyo IDE yako ya php nimeishuhudia.
Sina shaka juu ya uwezo wako
Basically haiwezekani kwa sababu Tigo/Voda et al hawajatoa API kwa ajili ya matumizi hayo. So labda utumie Simu ya Android iwe ina pokea commands na kufanya sending au kupokea SMS na kuiprocess somehow kulingana na mahitaji yako. Hackish but that is the situationmkuu shikamoo............nataka nifanye automation ya kulink paypal account na local mobile banking yaani tigo pesa mpesa airtel money na z pesa.....yaani mtu akilipal bill kupitia paypal account yangu niweze kuireceive kwenye my mobile banking platfom and vice verse........hapo naweza adapt solution gani au kama kuna module yooyote ambayo ishakuwa developed naomba unijuze.............au nipe maujanja nianze from scratch
Ahsante kwa compliment boss πmimi pia mkii sina shaka na uwezo wa Stefano Mtangoo kanisaidia vitu vingi mpaka sasa naweza sema i can do anything with php na mysql... hapa nampango wa kupiga kwake advanced php na kingine chochote ili kuwekea zege uwezo wangu
Una maana gani unaposema design? Context please!
Amesema strings, hajatumia String au string. Heheheheh
"any question"!Hivi amemaanisha maswali ya design hii au???
Hello!excuse my ignorance i know nothing about these knowledge but extremely interested,well i was simply thinking aloud no punny intended.Why did you left part of title?
No worries!Hello!excuse my ignorance i know nothing about these knowledge but extremely interested,well i was simply thinking aloud no punny intended.
That said ,what would u recommend for a beginner in programming? any suggestion for selt teaching sites?
Thanks!
No worries!
For beginner I recommend you Learn Python first. It will teach you good coding and since it is interpreted and does memory allocation for you and type casting.
I recommend you start with Python 3 since its the latest and is incompatible with 2.x
I recommend the official tutorial for Jump Start and Book a Byte of Python by Swaroop
Thanks for compliment π
Naomba kuuliza swali hili pengine kwa faida ya wengi.
Unamshari nini mtu anayetaka kujifunza "mwenyewe" website design & application kwa kutumia codes na siyo kwa kutumia tools kama dream weaver?
Hakuna shortcut ...
1. Soma na Ufahamu
2. Fanya Mazoezi
3. Rudia namba 1
Do you have any question concerning C/C++, Java, Python, PHP & Yii, JavaScript & JQuery?
Ask me a question (AMAQ) is the way to go.
I will find time to answer any question ... as much as I can π
So ask me!