Asiyeshukuru ni Muasi

Asiyeshukuru ni Muasi

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,098
Nikimsikia Mtu anasema ,,,, oh !!!! Huyu bwana ni mtu mbaya sana ,,,,, ana roho mbaya,,,,,,, oh!!!! Amenisababishia Haya,,,,, isingekuwa yeye Mimi yasingenikuta,,,,,,,,oh!!!! Mimi saa hizi ningekuwa mbali sana .

Hizo lugha zote na nyingine kama hizo , zinaniambia umekwama katika uwezo wa kufikiri .

Kwani kimantiki unatakiwa uone jambo jema katika ubaya na ndiyo yanaitwa mafanikio . Tambua kuwa mtu unayemuona ana matatizo yaani yule anaeleta ubaya kwako ,,,, ndiye anayekufikisha katika safari yako ya ukuu.

Matatizo ,shida unayo wewe unayewalaumu watu , kwa Yale mabaya waliokufanyia , inatakiwa uone positivity katika makosa yao.

Kumbuka kwa wale waliosoma shule miaka ya early 80 kushuka chini , utakumbuka jinsi watoto walivyokuwa wanapigwa shuleni , mpaka inatokea siku ya graduation ya shule unatafuta kulipiza kwa kuwapiga walimu .

Shukuru kwa kila jambo kwani asiyeshukuru ni Muasi kifalsafa na hata kiimani , ona wema katika ubaya .

Be inspired
 
Mkuu nakupongeza kwa kuokoka, nyuzi nne ndan ya dk kumi zote zenye mafunzo ya dini. Si bure kuna ulichoona, hongera.
 
Mkuu nakupongeza kwa kuokoka, nyuzi nne ndan ya dk kumi zote zenye mafunzo ya dini. Si bure kuna ulichoona, hongera.
mkuu nilikuwa nimeshaziandika nafanya , kuzitupia tu nyingi niliziweka facebook sasa vijana wangu wanaomba nipost na humu pia ,,, barikiwa sana nakupenda ,amen
 
Yan Katlkati Ya Maisha Haya Wanayosema Magumu Cc Tuone Ndo Pa Kutokea ,,,, Mkuu Fb Unajulikana Kwa Jina Gani?
 
Back
Top Bottom