Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,640
- 9,263
Ni kweli.Ni kweli , kutumia nguvu ya pesa kumshawishi Kwa kweli hamna kitu labda kama unataka upige per once na kukimbia , Ila kama unatumia pesa et akuelewe ukae sahau hyo ni hasara tuu, kingine sio lazima kila binti akuelewe , kama amezingua basi ina mana anamwelewa mwingine mwisho wa sku wewe utaishia kuwa ATM....anayeelekea upande wako huyo ndo move nae
Kuna watu wametumia pesa nyingi mpaka wengine wamesomesha wanawake lakini wameishia kuachwa.
Pesa kazi yake ni kurahisisha mahitaji ila hayakufanyi upendwe na mwanamke.