GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,314
Mi nitaendelea kuwashauri dada zangu mambo mema wayapasayo kutenda, nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka isiyopungua 30 nina wafahamu wanawake kwa kiasi flanu, moja ya tatizo kubwa ambalo linawawia wengine ugumu wa kuoa wadada wa siku hizi wana midomo michafu sana, wanatoa maneno magumu kiasi kwamba hata unashindwa utawezaje kumkiss baada yeye kutamka maneno hayo.
Hata humu JamiiForums tu angalia wadada wanavyotamka maneno ambayo hata mimi mwanaume siwezi yatamka ni magumu mpaka unajiuliza hawa wameolewa kweli? Wataolewa? Na je ni midomo hiyo hiyo wanaitumia kula au wanatumia mingine kwa ajili ya kula na hii kwa ajili ya kutolea uchafu huo wa matusi?
Zamani ilikuwa humsikii mtoto wa kike akitukana ukimuudhi sana utasikia anasema "toka hapa" Au anaishia kulia tu maskini. Siku hizi utasikia we fala, ms***e, shoga, unaf*****, ****** wako yaani ni vurugu mechi kinu na mchi. hawasikii ya nani wala mnadi swala. wanawake mbadilike ndiyo maana mnatusababishia tutafute michepuko ili huko angalau tupate maneno mazuri.
Jambo lingine hata kuweka wanawake wengi kwa sasa hawajui ukiona anajibishana na mwanaume daahh unagundua kumbe ile ya kuwachapa makofi zamani ilikuwa inasaidia sana na si unajua wanawake wanavyojua kusema? Ukisema moja yeye mia moja.