Asilimia Gani ya CCM Wanapenda Taifa Letu na Wananchi...

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Mpaka leo hii natafuta maswali na majibu kwamba kuna wanaccm wanapenda Taifa hili la Tanzania na hasa watanzania wanaojigamba wana wawakilisha? Sipati majibu yoyote yale...Kama kuna mbunge wa CCM kutoka mikoa yote ya Tanzania ukitoa Sitta na Mwakyembe wamezungumzia Mauaji Arusha au Kuhoji Uhalali wa Dowans au Kuzungumzia Mkataba Fake wa Richmond au Kwanini Lowasa alijiuzuru au kuchunguza Bank Kuu au kuchunguza mikataba hewa wizara nishati au kuchunguza mikutano ofisi ya raisi?????

Majibu ndani ya CCM ni giza tupu na hii ndio sababu ya Mapinduzi ya Sasa...JK achukuliwe na wasaudi...


Daily Monitor: *- Commentary*|Tunisians have exposed the African dictator
 
Back
Top Bottom