Asilimia 99 ya wanawake wanajiuza...!

Mm nlidhan umefanya utafiti kumbe mtu kasema
 

THIS IS A NICE IDEA, ITS TRUTH SOUNDS LIKE THAT: CSW & WETS ALL ARE PROSTITUTION .
1. CSW= Commercial sex workers ( Bongo wanapatikana buguruni, Sinza, Manzese etc) Hao ndio special hukaa barabarani au site yoyote nzuri na wana bei maalumu inaweza ikawa ni kwa goli, kwa usiku nk.
2. WETS= Woman Engaging in Transactional Sex Work= Hao ndio wanakamilisha na luifikisha hiyo 90% uliyotaja mkuu.
Hii namba mbili haibagui ameolewa au hajao, wakati namba moja walioolewa ni wachache sana. Kwa sababu inataka ujasiri mana hata wanunuzi wenyewe nao inataka ujasiri
ü Tafsiri yangu kujiuza ni kama katabia ambako wanawake wanakua nako kadiri wanavyokua. Na hii hutokana na ugonjwa wa “BEAUTY MYTH”. Busy to beautify their body for the sake of man recognition.
ü Sometime I say they purely entrepreneurs kwa sababu ni wabunifu wa kujiweka katika hali ambayo itawafanya wachaguliwe kwa gharama Fulani.
ü Kwa tafsiri nzuri zaidi kitendo cha kuiboresha bidhaa ili iwavutie wanaoihitaji( wateja) obviously ni kujiuza.

ü Coming to wamama wa miaka kuanzia 25 na kuendelea au maranyingi 30 na kuendelea hasa kwa wale ambao ni wazuri bila kujali wafanyakazi Iam telling you hao mimi nawaita ni technical (WETS). Nasema hivi kwa sababu wao hufanya mapenzi kwa mahesabu wakizingatia ni kwa vipi wanamteka mume wa mtu, na wako tayari wazae nae tu ili wamtoe pesa.
ü Umalaya wao ni very calculated na wala haupimwi kwa mavazi au nini.
ü Vile vile ni waharibifu wakubwa sana wa ndoa za watu, na kundi hili wafanyakazi wanaongoza.

 

jF kila mtu ana mawazo yake,its a matter of utetez wa hoja yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…