evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,181
Hayo yamesemwa na Bi Brenda mkurugenz wa CCBRT, walipokuwa wakiendesha zoezi la upimaji wa macho na utoaji wa matibabu BURE.
Source: ITV
Utafiti huo unaweza kuwa kweli, kwani watu wengi tumekua na mazoea ya kutokujua afya zetu kwa kudhani kuwa tuko salama, hadi pale tatizo linapokua kubwa na hatima yake tunakua tumeshachelewa.
NAWASILISHA!!!