DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
ndugu yangu wa lumumba anasema asilimia 42 ya ushindi wao wameupata kwa mapingamizi. anasema kama yasingekua mapingamizi wasinge fikisha hata alimia 50% .
hivyo watatumia hii mbinu mpaka uchaguzi ujao.
My take Kirefu kipya cha CCM ni chama cha Mapingamizi. Nashuri sheria ibadirishwe mapingamizi yawe yanawekwa mahakaman na uchaguzi usiendelee mpaka kesi itakapo kwisha. nasio kuwaachia mamisukule ya ccm yafanye maamuzi