pamoja na kusema tabia ya mumeo jua mpwa wanaume tumeumbwa kupenda shartikwa wamama kutunza kile walichopataPdidy umesema ukweli mtupu yalishawahi kunikuta hayo mambo yapo sana mashoga sio watu wakuwaachhia hata sekune moja na mumeo hapoa hapo ila inategemea na tabia ya mwanaume pia kama ni kimeo hata umwachie mwanao uliyezaana baba mwingine atamtokea tu
sawa shostishoYawezekana aijakukuta lakini nakutaarifu tu
mistake za kuwazoesha waume zenu na mashoga zenu madhara yake ni makubwa sana
sipendi kukimbilia kila kosa shetan shetani lakini kama tunaweza kuavoid
si mbaya tukampunguzia shetani dhambi jamani....hii mambo ya kwenda taarabu na shoga wako
na mumeo alafu unaenda kucheza koma kabisa asilimia nyingi ya ndoa za watu zinaangamia kwa sababu
ya marafiki zenu mabinti...kuweni makini na hli hata wewe unaeenda kuolewa hivi karibuni
sikia uwe macho mapenzi yenu ya zamani na marafiki zako usihusishe kabisa na mumeo
KIKULACHO KINGONI MWAKO SHOST ......MSIMSINGIZIE SHETANI KILA KITU SHETNA NYIE WENYEWE
Yawezekana aijakukuta lakini nakutaarifu tu

You appear to be very judgemental, immature with an attitude problem that will not be tolerated by the JF society. You also sound very bitter and angry with most of your pings. Just this once i will beg you to post something positive for a change. Stay blessed.

shogako siku zote ni mamako mzazi,mwanao,bibi yako kama yuko hai.....walobaki wawe ni watu mnaojuana tu!
kwani lazima usimulie...mwanamke gani wewe mdomo wazi kama 7-Eleven,na kama huwezi kunyamaza bibi yako yupo,ongea nae nadhani bibi inakuwa rahisi zaidikuna mambo husimuliana wanawake kutokana na kipigo kikali cha kitandani je anaweza kumsimulia mam yake mzazi na je atamwangaliaje mkwe wake???
You appear to be very judgemental, immature with an attitude problem that will not be tolerated by the JF society. You also sound very bitter and angry with most of your pings. Just this once i will beg you to post something positive for a change. Stay blessed.
Pdidy acha vituko bwana mtu mzima anaibiwaje alimvizia kalala akambeba au sijakuelewa