Asilimia 25 za bodi ya mkopo

Asilimia 25 za bodi ya mkopo

baba_

Senior Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
121
Reaction score
86
Jamani naomba mnisaidie kwa ambaye anajua jinsi gani asilimia 25 ya mkopo uliopewa inakuwaje una chukua ada tu au unachanganya na boom?
 
Bora wewe umepewa ivyo dogo langu kalipiwa ada tu tena elf 70
 
Back
Top Bottom