Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

Kwakuwa hapa tunazungumza siasa tuu basi watakuwa waliletwa na ccm na malori yao misimu ya kampeni,unajua tena wenzetu na ccm damdam
 
means za kiutawala ndiyo zilizoleta vita.
mwarabu alifikia Pwani, ambako wakazi wake wengi
walikuwa less developed, isitoshe hata lengo lake hapa halikuwa domination tofauti ma lengo la mjerumani. ndiyo maana hakupata resistance kali.

mwarabu alikuwa anafanya biashara ya utumwa, iliyowanufaisha hadi machifu, like wise kwa mwingereza, hakupata upinzani mkali ndani ya Tanganyika kwa sababu ya aina ya uongozi wake. (indirect rule system).
Halafu walikuwa wanamuuzia nan
 
Hili Jukwaa lina watu wa hovyo sana! Yaani Mwislamu akiona Mwarabu anatajwa kwa mabaya anakuja juu utafikiri babake! Mkristo na yeye alivyo mtu wa hovyo, akitaka kuzungumzia biashara ya utumwa basi lazima amuhusishé Mwarabu na dini yake huku akisahau Trans-Antlantic Slave Trade ilifanywa na Wazungu Wakristo! Trust me, Christians and Moslems are the most insane communities ever happened in the world history! If I were God, I'd sink these two communities and start afresh!
Kweli kabisa biashara ya utumwa imepotoshwa sana, anayetaka kujua vizuri Hii kitu, ingia u tube type "blacks in Latin America' , au " slave trade" utapata majibu, humo kuna information nyingi sana, au "evidence of slave trade".
 
jamani nami naomba kuuliza swali. kati ya maarabu na wazungu ni kina nani wana roho mbaya na wanatakiwa kulaumiwa kwa vitendo vyao viovu?
je, ulishawahi kujiuliza ni kwa nini nchi za kiarabu hakuna watu wenye asili ya Afrika ambao walibebwa kipindi cha utumwa?
Je, kuna uwezekano kuwa watumwa walioenda nchi za kiarabu walihasiwa ili kutozaliana?
Kama hawakuhasiwa, mbona watumwa walioenda Amerika hadi sasa hivi tunaona vizazi vyao vikiendelea iweje vikosekane kwa walioenda nchi za kiarabu?
nimeuliza kutaka kujua na kuongeza ujuzi. sina ushabiki wa dini wala itikadi.
Vizazi vya watumwa arabuni vipo, tafuta history ujue, ukifika Yemen utaona, ila unatakiwa kujua biashara ya utumwa imefanywa na weupe wote.
Halafu fuatilia Kwa nini Argentina hakuna blacks wakati watumwa walipelekwa wengi kama nchi zingine za south America.

Tujifunze biashara ya utumwa bila kuwa na bias ya dini zetu. Ukielewa utumwa vizuri na kuwaelewa tamaduni za watu na historian zao, haitakusumbua kutambua aspects nyingi za utumwa na ubaguzi ktk dunia Hii.
 
huyu baadaye mtoto wake atakuja kutuambia tusimseme vibaya osama bin laden.

acha kuishi kwa hisia na kuwa mtumwa wa dini na soma historia na kama wewe ni mvivu wa kusoma tembelea historical site na nenda Zanzibar upewe khabari za hawa waarabu halafu ndio urudi hapa kuwasifu waarabu.

unajuwa ni kwa nini Zanzibar hawataki kumsikia kabisa sultan jemshid? je wewe unavyopenda kuwa mwarabu si ungempa mkeo kabisa?
Jumba la kwanza kubwa Afrika Mashariki, limejengwa na Mwarabu, Taa za barabarani zimeanza Zanzibar kabla New York na alofanya ivo mwarabu, Karafuu za Pemba na spices zimeletwa na Mwarabu kutoka Asia. TV ya Rangi imeanza Zanzibar kabla kwenue bara na aliileta Mwarabu. Mwarabu katoka kwao kaifanya Zanzibar kuwa ni makao makuu ya nchi ya waarabu (Oman). Maendeleo yote aloleta mwarabu visiwani halafu anatokea mpumbavu anaejifanya kasoma Historia anakwambia Mwarabu alikuwa anafanya utumwa :D Ukimuuliza ushahidi anakuonesha picha za kuchora, za ukweli hanazo! Anakwambie nenda Zanzibar ukapewe habari za mwarabu akifikiria kuwa utazipata mbaya, labda CCM ndio wazungumze vibaya kuhusu mwarabu lakini wazanzibari hawana ubaya na mwarabu in fact wanamshukuru kwa kutia nanga Zanzibar.



Endelea na upumbavu wako!
 
Wakuu, Kwa wale wanaoifahamu Jiografia ya Mkoa wa Kilimanjaro,

Huu mkoa umekaliwa sana na Wapare (maeneo ya Same na Mwanga), Wamasai kidogo na Wachaga kwa wingi, takribani kwa wilaya nyingine zinazobakia. i mean Hai, Moshi Mji, Moshi (V), Siha na Rombo.

Kunasehemu moja inaitwa Masama iko wilaya ya Hai, hili eneo limekaliwa na Waislamu kadhaa tena wale wenye misimamo ya wastani. ni nini asili yao?

Sababu ya kutaka kujua, ni nzuri tu coz hawa wako sarrounded na Wachaga wakristo with no impact on their presence.

Hata kisiasa ni watu wapenda mabadiliko..
Ni chimbuko la kina Former I GP Said Mwema.
Na pamoja na hayo, Kwa pale mjini(Hai) ni sehemu yenye misikiti mingi tu, dhana ya udini Kazkazini kwa sasa haiko tena...
nawasilisha
POPOTE AMBAPO KUNA FISIEMU NDIPO UDINI UMESHIKA KASI KWA BIDII...
 
huyu baadaye mtoto wake atakuja kutuambia tusimseme vibaya osama bin laden.

acha kuishi kwa hisia na kuwa mtumwa wa dini na soma historia na kama wewe ni mvivu wa kusoma tembelea historical site na nenda Zanzibar upewe khabari za hawa waarabu halafu ndio urudi hapa kuwasifu waarabu.

unajuwa ni kwa nini Zanzibar hawataki kumsikia kabisa sultan jemshid? je wewe unavyopenda kuwa mwarabu si ungempa mkeo kabisa?
wale mashujaa wa taifa ndio waliokuuzeni utumwani na hata leo bado mwarabu hayuko bado mnauzwa na hamjitambui....
 
Matola,
uislamu uliutangulia ukiristo humu tz kwa miaka kama 700. Kwa maana hiyo suala la waislamu wa Masama halina tatizo kama vile baadhi ya waarabu walivyojiunga na Mkwawa kupigana na wajerumani, na hilo ndilo jibu kuwa iweje waarabu unaotanguliza kuwa walishika halaiki utumwa hawakuwa na vita na WENYEJI? Badala yake tunakuta kina Mirambo, Mkwawa, Sina nk wanapigana sio na waarabi bali na Wazungu waliojenga Shule na Hospitali? Ina maana Mkwawa hakutaka Mashule? Ina maana wajerumani walimnyonga Mangi Sina kwa kukataa mashule? Mbona wakati wazungu wanafika walikuta mwambao wote unatumia herufi za kiarabu kuwasiliana kiswahili (hadi machifu wa sambaani kina Kimweri)? Hawa wazee walikuwa wanajua kusoma!!!!! na kuandika

Amini kuwa hao "waliovumbua" Mlima Kilimanjaro walielekezwa mlima ulipo na waarabu wa zanzibar kwa vile maeneo haya yalikuwa na miji yao ya biashara kwa zaidi 500 years

Kisha nakuachia swali. Afrika magharibi kulifanyika biashara kubwa sana ya utumwa (kirasmi inaitwa West Africa Slave Trade). Huku Afrika Masharika pia pakawa na biashara kama hiyo (hii inaitwa East Africa ARAB slave trade). Do you have any idea kwa nini ile ya Africa magharibi hamna neno "European" ila hii ya huku kwetu ni muhimu kuwa na neno Arab?

TAFAKARI!!!!!
Mkuu umemaliza mjadala na hapo ndipo WELEDI UNAPOJITOFAUTISHA NA WENYE KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA!
 
Makamae usitudanganye hakuna mtoto anaezaliwa akiwa muislamu hi ni kwa mujibu wa Quran na muislamu wa Kwanza kusilimu alikuwa mtume Mohamadi akifatiwa na majini so ubatizo ni tofauti na threat uloitoa.
 
Waislam sehemu yeyote ile wanatofautiana,wapo wale wenye hawana time na dini yao (hawa safi sana hawa) wapo wenye msimamo wa wastani na pia wapo extremists (hawa ndio balaa).
Na wale waliorukwa na akili zamaani tangu kuzaliwa kama FaizaFoxy
 
Uislam na waislam utaukuta na utawakuta popote duniani hata ndani ya Vatican.
Kimsingi mtoto akizaliwa huzaliwa ktk maumbile ya asili ya uislam(fitra) ambayo yameelezwa vyema ndani ya Qur'an kuanzia
tendo la ndoa,mchupo wa manii,pande la nyama,kupuliziwa roho,miezi 9 tumboni.mpaka kuzaliwa.
Kwakua mtoto huzaliwa akiwa muislam kamili ndo maana wakristo hujaribu kuleta dhana ya UBATIZO eti kujaribu kumvua mtoto uislam wake.
Eeeeh
 
asili ya wakristo Tanzania ni wamisionari na asili ya waislamu Tanzania ni wafanyabiashara wa kiarabu that's it.

hili wala halihitaji degree kulijuwa. wamisionari walijenga makanisa shule na hospital wakati wasrabu walijenga misikiti peke yake afya na elimu haikuwa kipaumbele chao.

results zake ndio zinareflect mpaka leo.
Ni ukweli ulio wazi, walijenga misikiti na makaburi ya wafu wao.

Wallah wabillah
 
Ni vita gani ilipiganwa kati ya waarabu na wenyeji watanganyka au wazanzibar? Mm najua ni vita kati ya wajerumani/waingereza na wananch tu. Iwapo hawa wajeruman au waingereza unawasifia et kwa kuleta hosp iweje walipata upinzani mkubwa kuliko waarabu?
Waarabu walikuwa makafiri namba moja wenye ushenzi wa asili....bisha!
 
Hii ndio Elimu ya Madrasa? Yote heri
Uislam na waislam utaukuta na utawakuta popote duniani hata ndani ya Vatican.
Kimsingi mtoto akizaliwa huzaliwa ktk maumbile ya asili ya uislam(fitra) ambayo yameelezwa vyema ndani ya Qur'an kuanzia
tendo la ndoa,mchupo wa manii,pande la nyama,kupuliziwa roho,miezi 9 tumboni.mpaka kuzaliwa.
Kwakua mtoto huzaliwa akiwa muislam kamili ndo maana wakristo hujaribu kuleta dhana ya UBATIZO eti kujaribu kumvua mtoto uislam wake.
 
Back
Top Bottom