Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,257 Reaction score 34,553 Mar 9, 2017 #21 Wakuu nauliza hivi asili ya neno mama ni wapi? Kwa sababu waswahili wanaita mama, wahindi wanaita mama, wanaijeria wanaita mama,wazungu wanaita mama ,yani kwa kifupi lugha nyingi sana zinatumia hili neno Sasa asili yake ni wapi??
Wakuu nauliza hivi asili ya neno mama ni wapi? Kwa sababu waswahili wanaita mama, wahindi wanaita mama, wanaijeria wanaita mama,wazungu wanaita mama ,yani kwa kifupi lugha nyingi sana zinatumia hili neno Sasa asili yake ni wapi??