Asili ya neno daladala

Omari Makoo

Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
78
Reaction score
39
Inasemekana kwamba asili ya neno daladala ni zama za Mwl Julius Nyerere wakati shilingi tano likuwa sawa na dolar moja ya kimarekani hivyo shillingi tano ikawa inaitwa dala na wapiga debe enzi hizo walisema dala -dala-dala kumaanisha kuwa nauli ni dala moja(gwala/shilingi tano) na ndipo lilipoibuka neno daladala.

Tupe asili nyingine ya maneno unayoyafahamu
 
Unauliza jibu? Kama wewe umezaliwa Dar, muulize mama yako unless naye ni mdogo wa kabla ya 75 kabla ya vita ya Kagera ndo dollar ilikuwa hivyo. Baada ya vita uchumi uliporomoka vibaya.
 
Unauliza jibu? Kama wewe umezaliwa Dar, muulize mama yako unless naye ni mdogo wa kabla ya 75 kabla ya vita ya Kagera ndo dollar ilikuwa hivyo. Baada ya vita uchumi uliporomoka vibaya.
siulizi kushuka kwa shilingi wala sishangai kushuka kwake bali naoanisha hayo matukio na asili ya neno daladala....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…