Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Jan 14, 2020 #1 Habari wakuu. Najua JF ni bahari. Kuna watu wote humu, sasa shida yangu kuu ni kujua asili ya kiapo maarufu cha ndoa; "Mimi nchikavu nimekupokea wewe le mbebs uwe mke wangu wa ndoa". Hicho. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu. Najua JF ni bahari. Kuna watu wote humu, sasa shida yangu kuu ni kujua asili ya kiapo maarufu cha ndoa; "Mimi nchikavu nimekupokea wewe le mbebs uwe mke wangu wa ndoa". Hicho. Sent using Jamii Forums mobile app
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,556 Jan 14, 2020 #2 Asili yake ni wafungisha ndoa wa kwanza miaka ga nyuma huko ughaibuni waliona ikiwa hivyo yafaa ndipo ikasambaa kwa makanisa yote leo. Kwenye maandiko kitu kama hicho hakipo na kama kipo nitatoa zawadi kwa atakayeleta reference.
Asili yake ni wafungisha ndoa wa kwanza miaka ga nyuma huko ughaibuni waliona ikiwa hivyo yafaa ndipo ikasambaa kwa makanisa yote leo. Kwenye maandiko kitu kama hicho hakipo na kama kipo nitatoa zawadi kwa atakayeleta reference.
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Jan 14, 2020 Thread starter #3 TODAYS, Bahati mbaya katika harusi ya Kana hatukuambiwa mchakato wa ndoa uliendaje bali divai ilitawala Sent using Jamii Forums mobile app
TODAYS, Bahati mbaya katika harusi ya Kana hatukuambiwa mchakato wa ndoa uliendaje bali divai ilitawala Sent using Jamii Forums mobile app
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,556 Jan 14, 2020 #4 Nchi Kavu said: Bahati mbaya katika harusi ya Kana hatukuambiwa mchakato wa ndoa uliendaje bali divai ilitawala Click to expand... Pale waliunganishwa tu hakukuwepo na hizo vitu, urembo wa kwenye ndoa hizo.
Nchi Kavu said: Bahati mbaya katika harusi ya Kana hatukuambiwa mchakato wa ndoa uliendaje bali divai ilitawala Click to expand... Pale waliunganishwa tu hakukuwepo na hizo vitu, urembo wa kwenye ndoa hizo.
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,487 Reaction score 19,842 Jan 14, 2020 #5 Hivi hiki kiapo ni kimoja kwenye dini/madhehebu yote???
corasco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 3,663 Reaction score 3,397 Jan 18, 2020 #6 Mla Bata said: Hivi hiki kiapo ni kimoja kwenye dini/madhehebu yote??? Click to expand... Sio kimoja wengine wanapewa kipya kabisa na wanapewa nafasi waseme viapo vyao wao wenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app
Mla Bata said: Hivi hiki kiapo ni kimoja kwenye dini/madhehebu yote??? Click to expand... Sio kimoja wengine wanapewa kipya kabisa na wanapewa nafasi waseme viapo vyao wao wenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Jan 21, 2020 Thread starter #7 corasco said: Sio kimoja wengine wanapewa kipya kabisa na wanapewa nafasi waseme viapo vyao wao wenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu hivi viapo vipya vikoje na vinatolewa na kina nani?
corasco said: Sio kimoja wengine wanapewa kipya kabisa na wanapewa nafasi waseme viapo vyao wao wenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu hivi viapo vipya vikoje na vinatolewa na kina nani?