Asije akafufuka tena!!

Asije akafufuka tena!!

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Kulikua na mazishi, mwanamke mmoja alifariki.
wakati wabeba jeneza wakilitoa nje jeneza kutokea ndani, kwa bahati mbaya waliligonga jeneza na ukuta,
wakasikia sauti kutoka ndani ya jeneza. Walipolifungua walikuta yule mwanamke yuhai.

Mwanamke yule aliishi kwa miaka 10 zaidi, kisha alikufa.

Siku ya mazishi wakati wabeba jeneza walipokua wakilitoa nje tena jeneza.

Mume wa marehemu alimaka kwa sauti "Jamani taratibuni msije mkaligonga tena ukutani."
 
hahahahahahahaaaaaaa....yani mpaka nimeamsha watu.......dah
 
Kuna watu hawana ustahimilivu!!! yaani unamchoka mwenzio mpaka unaonyesha waziwazi!!!!

Nimecheka kwa kweli
 
Mh pole sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom