barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,917
Kwa ushindi huo lazima atakuwa amesema pesa tuHizo mbinu/nguvu na jitihada angezitumia katika kutafuta pesa angefika mbali!..hongera kwa ushindi...
Mikate saba. Tikiti 3:what:
sawa lakini si angekula kistaarabu tu jamani! Mbona anakula kwa pupa kama Nguruwe. .
Mbona vimebaki aisee???
Mi nakumbuka kuna jamaa alikula kilo mbili za wali maharage mpaka ukoko akakwangua,matango sita,ndizi mbivu tatu kubwa,tikiti moja.akapewa zawadi ya bia mbili nazo akazinywa hapo hapo.kisha akamuagiza mdogo wake kuwa wasisahau kumuwekea msosi home.
Kuna viumbe wa ajabu sana duniani.
Duuuu hayo ni mapepooo.
Wote hao ni wa kawaida sana!!,Kuna dogo alikuwa na miaka 13,alikuwa ana uwezo wa kumaliza kiroba cha mchele kg 13,ambao haujapikwa kwa kuutafuna halafu wali nao anakula km kawaida,hadi mama yake aliamua kuomba msaada kutoka serikalini na wasamalia wema.