Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,085
lara 1..kila kitu -ve lazima uki'generalize' kwa wanaume wote, naanza kuhisi you really need professional help! Waweza kuwa na vidonda vingi vya mahusiano ambavyo huvitii dawa vikapona!Arudishe maziwa ya mama yake aliyonyonya mtoto! Alaaaaaaaah!
Wanume hamna jema, yaani mtu anakupa zawadi ya uhai ila unakomaa huitaki? Basi tena!!!!!!!
Last edited by a moderator: