[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna siku nilisikia Ali choki amefariki !
Haikuwa kweli.Kuna siku nilisikia Ali choki amefariki !
anaimbakumbe bado yuko...nilijua amestaafu kuimba
Nilijua katangulia mbelekumbe bado yuko...nilijua amestaafu kuimba
sidhani kama unamjua Ally Choki, amechoka vibaya. Last time nimemuona yupo na King Kikii bar fulani nikawa nabisha sio yeye hadi alivyojitambulisha na kuimba kidogo.😱😱😱yupo kanenepa kama faru john
lini umemuona mii nimemuana kama miez kadhaa amenenepa amechoka lini tena kiasi hicho alikuja kule kunduchi kufanya showsidhani kama unamjua Ally Choki, amechoka vibaya. Last time nimemuona yupo na King Kikii bar fulani nikawa nabisha sio yeye hadi alivyojitambulisha na kuimba kidogo.
na pia asha kwani amesema kufa ipi kimziki ama kifo kile kingine maana nadhani hii ni tungo tatasidhani kama unamjua Ally Choki, amechoka vibaya. Last time nimemuona yupo na King Kikii bar fulani nikawa nabisha sio yeye hadi alivyojitambulisha na kuimba kidogo.
Acha uwongo, Choki kachoka na kapungua sana, mimi naonana nae mara kwa maralini umemuona mii nimemuana kama miez kadhaa amenenepa amechoka lini tena kiasi hicho alikuja kule kunduchi kufanya show
nilimuona miez kadhaa akiwa na afya tela sijasema nimuona jana muongo nyanya yako kama bado yupo hai au unataka uonekane na wewe unamfahamu choki.............mchewwwAcha uwongo, Choki kachoka na kapungua sana, mimi naonana nae mara kwa mara
Unachoongea hukijui, nafikiri unamfanaisha Choki na Msafiri Diof ambaye ndo kanenepa sana. Kwa Choki umebuginilimuona miez kadhaa akiwa na afya tela sijasema nimuona jana muongo nyanya yako kama bado yupo hai au unataka uonekane na wewe unamfahamu choki.............mchewww
hapana namfahamu choki toka utotoni mwangu wacha kunilazimisha kukubali unachoniambia wakati nimemuona mwenyewe na kuna mtu alimwagia pombe lwiza mbutu akalalama sana n way yeye ni mwanadamu kila mwanadamu ana ups and downs................ kama kachoka sawa tu hata mie na wewe tunaweza kuchoka pia kwani yeye nani mpaka asichoke? mpe pole ukimuona na leoUnachoongea hukijui, nafikiri unamfanaisha Choki na Msafiri Diof ambaye ndo kanenepa sana. Kwa Choki umebugi
Wala hatubishani mimi nakueleza tu uhalisia, pita kuanzia SAA 12 jioni utamkuta pale Uhuru Peak Kinondoni utamkuta anakunywa Redbull yakehapana namfahamu choki temumu ana ups and downs.....leo