Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Nusu kwa nusu wanawake ni 3 na wanaume ni 3 mkuu. Asifiwe Bwana Mwenyeezi Mungu HaleluyaMziziMkavu!
Hawajasema wa Kiume ni wangapi na wa Kike ni wangapi?
Hakika MUNGU ni mweza wa yote!
Nusu kwa nusu wanawake ni 3 na wanaume ni 3 mkuu. Asifiwe Bwana Mwenyeezi Mungu Haleluya
Kwanini ingelikuwa hapo bongo ni majuto? Si nyinyi ndugu zangu mngenisaidia wana Jamii forums?Amen!
Hakika anaweze!
Ingekuwa ni hapa Bongo ingekuwa ni majuto.
Kwanini ingelikuwa hapo bongo ni majuto? Si nyinyi ndugu zangu mngenisaidia wana Jamii forums?
Kweli sehemu zingine fedha zipo nje nje, hapa kwetu ni maajabu mangapi yapo na watu hawapewi hela?
Kwa mfano kuwa na rais asiyejua kwa nini nchi yake ni maskini, si maajabu hayo?
Mkuu ukiweza uje utuletee walivyo kwa sasa!!
Hiyo nyumba itakuwa ni vurugu mtindo mmoja hadi waje wakue!! kaaaazi mno![/QUOTEIitabidi uwe na bakora ya kuwachapa ikiwa nyumba ina vurugu nikiwaleta utanisaidia kuwalea watoto?
Eti leo amepewa TUZO hapo Ethiophia!
Yani huu mzigo sijui tutautua lini.
MUNGU akatujalie tu!
Mkuu ukiweza uje utuletee walivyo kwa sasa!!
Hiyo nyumba itakuwa ni vurugu mtindo mmoja hadi waje wakue!! kaaaazi mno!
He amepewa tuzo ya nini tena?
Mkuu kama ndio mpangaji wallahi hupati nyumba uswahilini
Nitakuwa nimeingia toilet ya wafisadi au siyo Mkuu?Kwa jamiiforums hakika watakusaidia lakini serikali legelege kama tunayoitazama leo,
Nakwambia ungekuwa umeingia choo isiyo na jina,,,,,,,,,,,,,,,,,,.,,!
Nitakuwa nimeingia toilet ya wafisadi au siyo Mkuu?
He amepewa tuzo ya nini tena?