Asenga Abubakar wa CCM alikoroga ITV

Asenga Abubakar wa CCM alikoroga ITV

Simpendi huyu jamaa, yupo yupo utafikiri mwanamaigizo
 
Kwanza mi ndg yenu nishakacha siku nyingi kujadili kitu na hawa wachumia tumbo,Kama wakubwa zao wote wana umaarufu wa kukimbia midaharo! Tutegemee nini kutoka kwa hawa?.Ukiwa ccm unaweza kuonekana ni kijana kwa umri lkn muonekano wako wa nje KIMAVAZI,SURA,MWENDO NA hatimaye hata UWEZO WAO WA KUFIKIRI umezeeka bora hata ya KINGUNGE.Hakuna ubishi vijana walio MAGAMBANI wote wapo kwa maslahi ya tumbo TU.Na ndio maana nivigumu kubaini pindi unaposikia sauti ikitoka kwao ili kujua kama inatoka mdomoni au sehemu zingine zisizo rasmi !
 
Asenga songa mbele usiwe kibaraka kama ben wa saa 9
Mkaanga sumu
 
Kwa maana nyingine akina Kilombero kwetu mnataka kuwaaminisha watanzania kwamba wabunge+naibu spika hawajui sheria wanazozitumia pale bungeni na zinazowawezesha wakae mule ndani ila nyie vibaka ndio mnazijua vizuri sio?

Ni kwanini basi yumo AG mule ndani kama hajui kutafsiri sheria za bunge hadi watu wa humu jf ndio wazitafsiri?

Kuna haja gani ya kuendeea kuwa na bunge lenye wabunge ambao hawajuikutafsiri sheria ambazo wanatakiwa wazifuate na kuzielewa vilivyo?

Mpaka sasa inaonekana wabunge wetu ccm ni vihiyo kwani wameshindwa kutumia sheria zao hadi sasa maboya yanatafsiri wakati hata sheria hayajui kwa mawazo yangu bunge hili halifai kuendelea kuwepo livunjwe,kwani pamoja na kishindwa kutafsiri sheria,wamepeleka muswada kwa rais nae kaurudisha haukukamilika so hili bunge ni hasara tupu kwa taifa Livunjwe kabisa,

Wanaounga mkono hoja waseme ndiyooooooooooooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:

Yuko na muuzaji na unga na akina riz na lukosi, wote majanga na aibu itawafunika daima, ukweli jana nimemcheki kwenye kipima joto cha itv ila ni ovyo nonsense.
Lukosi ndio anatumika kupokea unga na kuisambaza uk amewasababishia matatizo wabongo wa uk na wengine wako ndani kwa kujifanya wakala wa kusafirisha mizigo kumbe na unga ndani. Mzigo inatoka sehemu mbali mbali kwa msaada wa akina riz1, kinje
 
Huyu si ndiye aliyesema kwamba kama Rais Kikwete asiposaini muswaada wa marekebisho ya katiba na kuwa SHERIA. Basi atampinga hadharani.

Imekuwaje leo ni siku ya pili hatujaona akimpinga RAIS na M/Kiti wa CCM hadharani. Hivi hawa UVCCM huwa wanatafakari KAULI zao kabla ya kuzitoa vinywani mwao. Ingekuwa in fact nchi za wenzetu huyu pamoja na Wassira, Lukuvi, Chikawe walitakiwa wae wamejiuzuru siku nyingi.

Lakini Banana republic (TZ) wataendelea na nyadhifa zao as if nothing happened. Kama Werema na yule mama Waziri (nimesahau jina lake) walivyosema kwamba hakuna haja ya katiba mpya na baada ya siku chache JK akaanzisha mchakato wa katiba mpya lakini waheshimiwa hao wakaendelea na nyadhifa zao! Kweli this is only possible in Tanzania!
 
Asenga alimpanikisha marcucy akapotea ata kujibu hoja
nikijana mpambanaji wa hoja alijibu hoja vzuri sana siku ile pale itv
wachache hawakumuelewa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom