Asemavyo KIPANYA....

Daddy ikubwishe basi... kamchina kangu kahadadavui lolest!!!!!!
 
Amesema kwel haina haja kuacha kurusha vpindi laiv kwan ni sehem ya serikal kupata changamoto na kuzidi kujitolea zaidi kutumikia wananchi!
 
Kipanya is super intelligent... keep it up with this form of educating our lazy leaders!
 
Lazima wakubali kung'oka kwani wao nani? wanajidai hii serikali ni mali ya CCM hakuna hiyo kitu, lazima waachie na wenzao nao watoe mchango ss wote ni watanzania na Tanzania ni yetu sote
 
kipanya siku hizi hana dili amekuwa mwoga sana, anaongea vitu too general.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…