AseeLindi ni kijijini wazee

AseeLindi ni kijijini wazee

Aisee mtu kamaliza shule lakin bado anabaki analala na watoto bwenini! Hivi ni akili gani hizi aisee..... Watu kama hawa nadhan hata wakiona fulana zimeandikwa "NO REFORMS, NO ELECTION" wanajua ni brand za makampuni kwenye jersey kama ilivyo SPORTPESA ama Mbet...
 
Lindi mazingira ya pale panapoitwa mjini na hovyo, kama makumbusho tu maana magofu tele

ila mikoa mingi ipo hovyo bora ya Lindi
Lindi ni kama bagamoyo tu, hakuna maajabu.

Wakati nipo kwenye basi naenda miaka hiyo nilikua nasoma kitabu kinaitwa SIMBA WA TUNDURU, huwez amini nilipofika lindi hata kutembea jioni nilikua nahofia simba anaweza kunishambulia maana ni mapori tu.
 
Mimi nimezaliwa huko na nimebahatika kutembea mikoa mingi

Primary to advance nimesoma ndani ya Lindi na Mtwara

Nafahamu nachoongea
Kahama ulishafika?
Kama jibu ni ndio hebu tueleze tofauti
 
Kumbe umeishi miaka mitano pale lindi, so Baada ya miaka miwili ya advance hiyo miaka mingine mitatu ulikua unakaa bweni gani?
Na mie nilikua nalima mchicha 😄

Ni katika vipindi tofauti mkuu
 
Uislamu umeuharibu vipi?
Kwahiyo sehemu kama Qatar,UAE,Dubai na nchi nyingine ambazo zina waislamu wengi utasemaje? Acha kugenelize ujinga ujinga kwamaana uislamu ndiyo inafanya watu wasiendelee au wasifanye kazi? Upumbavu
Dogo, hivi kabla ya uvumbuzi wa mafuta katika hizo nchi unajuwa walikuwa wanaishije....kwa taarifa yako hao watu walikuwa wanaishi kama ndugu zetu wa hii mikoa niliyoitaja hapo juu, walikuwa walalahoi tu na mabingwa wa kunywa gahawa na tende.
 
Dogo, hivi kabla ya uvumbuzi wa mafuta katika hizo nchi unajuwa walikuwa wanaishije....kwa taarifa yako hao watu walikuwa wanaishi kama ndugu zetu wa hii mikoa niliyoitaja hapo juu, walikuwa walalahoi tu na mabingwa wa kunywa gahawa na tende.
Hauna akili chenga kabisa wewe
 
Back
Top Bottom