AseeLindi ni kijijini wazee

AseeLindi ni kijijini wazee

Nakumbukaga Ile story ya Mpwayungu Village SAFARI YANGU YA LINDI ilikuwa bonge la story 2022 Hadi ikamfanya Mpwayungu awe JF person of the year 2022.

Yani Ile story ukiianza tu kusoma hutaki kuwacha inakuwa suspense kutaka kujuwa kitakachofuata. Mwamba alitisha Sana humu 2022.

Nilipenda Ile sehemu alipolala chin ya Lori lindi stend alipovamiwa na vibaka nakutembeza mkono wa hatarii.

Mwamba alikuwa anajirusha kima cha joti akitua tu anatembeza ngumi na teke balaa na kubwaka na kuibukia upande wapili.

Yani Ile story maamee ilibamba ilikuwa bonge la blockbuster jamvini. Ilinifanya nipapende lindi.

Linki hii hapa chini.


adriz
Chai
 
Kwa iyo PICHA hakika ni kweli KABISA.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Lindi ni sawa na Bagamoyo, Tabora, Ujiji, Zanzibar, Pemba, Tanga. Uislam na umwinyi umekuharibu mno, mtu anaona ufahari kushinda kavaa shuka tu akizunguka mitaani kusengenyana, hana kabisa wazo la kutafuta ama kufanya kazi.
Mamwinyi utamaduni wao ni wa ajabu sana
 
ulivyokuja hivyo utalalia chaga?
nikamjibu sijaja kulala nimekuja kusoma.

😂😂😂😂😂😂👆👆
 
Uislamu umeuharibu vipi?
Lindi ni sawa na Bagamoyo, Tabora, Ujiji, Zanzibar, Pemba, Tanga. Uislam na umwinyi umekuharibu mno, mtu anaona ufahari kushinda kavaa shuka tu akizunguka mitaani kusengenyana, hana kabisa wazo la kutafuta ama kufanya kazi.
Kwahiyo sehemu kama Qatar,UAE,Dubai na nchi nyingine ambazo zina waislamu wengi utasemaje? Acha kugenelize ujinga ujinga kwamaana uislamu ndiyo inafanya watu wasiendelee au wasifanye kazi? Upumbavu
 
Back
Top Bottom