Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,429
- 14,873
- Thread starter
- #41
Kweli kabisaLindi ni extended village
Kweli kabisaLindi ni extended village
Ujiji ni zaidi ya Lindi pa kijinga sanaLindi ni sawa na Bagamoyo, Tabora, Ujiji, Zanzibar, Pemba, Tanga. Uislam na umwinyi umekuharibu mno, mtu anaona ufahari kushinda kavaa shuka tu akizunguka mitaani kusengenyana, hana kabisa wazo la kutafuta ama kufanya kazi.
Acha kupotoshwa na huyo kula kulala mkuu. Anazingumza vitu gani sijuiHahahahahaaaa,dunian kuna vituko
Mtu anamaliza shule na anabaki hapo hapo
Siyo Texas kwa Jose 'Kifafa'?!!!;Mkuu ulikua bweni gani? Mwongozo? Fidel Castro? Utawala Bora, etc. Unanikumbusha mbali sana.... Kila siku jioni kwenda beach
Noma, Kuna moja LA kule barabarani vyoo vyake vilikua ndani ni full harufu wanajiita KIPINDUPINDU kama sijasahau!Siyo Texas kwa Jose 'Kifafa'?!!!;
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Noma, Kuna moja LA kule barabarani vyoo vyake vilikua ndani ni full harufu wanajiita KIPINDUPINDU kama sijasahau!
It was nice experience advance ratiba zako unajipangia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yeah, hatari sana!
Yaani, ikitokea advance amepigwa kiboko hata kimoja basi utachekwa na kudharaulika miaka yote. Mambo yamebadilika, siku hizi hata kwenda beach ni kwa ruhusa......viboko kama vyote.It was nice experience advance ratiba zako unajipangia
Ooh kumbe. Sisi paredi tulikua hatuendi, darasani pia ukipenda. Ni miaka mingi kidogo. Nilimaliza pale 19 years ago.Yaani, ikitokea advance amepigwa kiboko hata kimoja basi utachekwa na kudharaulika miaka yote. Mambo yamebadilika, siku hizi hata kwenda beach ni kwa ruhusa......viboko kama vyote.
Oya dg hapo ni kiwira road, mabonde, makandana, Bulyaga au bujinga...?
Mabonde boss[emoji3]Oya dg hapo ni kiwira road, mabonde, makandana, Bulyaga au bujinga...?
Wewe unaizungumzia lindi gani?Ila watu wa pale wanaheshimu sana wanafunzi, unaweza ukapishwa seat na mtu size ya dingi yako, kisa tu umevaa t-shirt la lindi seko.
Lindi seko ilikuaga poa sana, ni bweni lakini ukiwa mzembe unapangishwa kitanda 😄
Pale wanafunzi wameacha sana watoto, maeneo yanayoizunguka shule.
Watoto wa maeneo yale wanakujaga sana kula pale shuleni, na mara nyingi hawakatazwi kwa sababu ni watoto walioachwa/waliotelekezwa na wanafunzi.
Lindi seko kuna wanafunzi wengine walishalowea pale pale shule, unakutana na li dingi saizi ya baba ako mnalala nalo bwenini.
Mengine ni malima mchicha, unaweza kudhani labda ni ticha kumbe mkaazi mwenzio 🤣
Asubuhi nyie mkiamka kwenda darasani na lenyewe linaamka kwenda kwenye harakati zake, usiku mnakutana bwenini, mnapiga stori, wewe unalipa za darasani lenyewe linakupa stori za mtaa 😄 🤣
Yalikujaga kusoma hapo kitambo, baada ya kumaliza shule yakaamua kubaki pale pale shule miaka na miaka(haya ndio ma ving'ang'a sasa 😄)
Mie niliendaga pale kikomando sababu O- Level nilisoma boarding ya kibabe vile vile.
Nimefika pale na kibegi na ndoo ndogo ya lita kumi, mpaka patroni akashangaa akasema "ulivyokuja hivyo utalalia chaga?
nikamjibu sijaja kulala nimekuja kusoma.
alivyonionesha kitanda changu akashangaa natoa godoro na ndala kwenye ndoo ndogo(kupeki hivi walinifundisha wanyasa/watu wa Malawi)
Kuna dogo usiku ametoka darasani kuingia bwenini anakuta mtu kalala kitandani kwake kajifunika gubigubi, dogo kuona hivyo akawa mbogo, akaanza kukitikisa kitanda anamwambia jamaa toka kwenye kitanda changu, tooookaaa.
Ile kufunua shuka akakutana na dingi lina ndevu kama zoote, ikabidi aamkie kwanza, halafu jamaa likamwambia nenda nje kaangalie namba ya bweni, dogo alipotoka anaangalia kumbe amekosea bweni, kilichofuata 😄
Kuona nyoka ni kila siku mpaka unazoea
Watu walimchoma spoku iliyowekwa kwenye moto ng'ombe wa shule ili wale nyama.
Nashangaa eti watu wanataka kuandamana ng'ombe wa shule achinjwe kwa sababu wameona anaumwa na ameanza kudhoofu,
kumbe mijamaa imeshamchoma spoku inajua iwe isiwe ni lazima aliwe.
Lindi na kahama ni masai na samaki, tofaaauti kabisa.
Ikitokea Watu wooote wa pale lindi mjini wakahamishiwa kahama mjini watatoshea pale kahama stendi tu, kahama nyingine yoote inabaki tupu.
Ukisimama katikati ya lindi, ukirusha jiwe kuelekea upande wowote ule linadondokea mpakani.
Lindi ni ndogo kama mchanga asee!!!
Hata mzunguko wa pesa ni pale pale, ndio maana noti za lindi zimechakaa.
Noti atakayoikataa konda wa daladala dar, ukiipeleka lindi dukani inapokelewa.
Ukitaka kufilisika, nenda kaanzishe biashara ya pesa chakavu lindi.
Sema ni miaka mingi imepiga patakua labda pamebadilika
Kitambo sana, maeneo hayo nimekunywa sna kimpumu na komoni... Tokyo home sweet home
Dodoma kakuharibu nani?Lindi ni sawa na Bagamoyo, Tabora, Ujiji, Zanzibar, Pemba, Tanga. Uislam na umwinyi umekuharibu mno, mtu anaona ufahari kushinda kavaa shuka tu akizunguka mitaani kusengenyana, hana kabisa wazo la kutafuta ama kufanya kazi.
Unaumaliza mji kwa kutembea kwa mguu kwa masaa 4.5We jamaa lindi sio ndogo
Lindi ni kijiji mzee nimeishi miaka 5Wewe unaizungumzia lindi gani?
Huwezi kusema lindi ndogo wakati Lindi ni miongoni mwa mikoa mikubwa kwa neo hapa Tanzania
Wewe umeenda Lindi sekondari halafu unajifanya unaijua Lindi
Halafu ukisema Lindi ni Chaka inategemea unafanisha na wapi, Kuna mikoa ipo Chaka bora ya mkoa wa Lindi
Padogo sanaUnaumaliza mji kwa kutembea kwa mguu kwa masaa 4.5
Lindi unazungumzia Lindi unayoisema, RUANGWA, Nachingwea, Liwale,Lindi ni ndogo sana, maeneo mengine ni pori na bahari